Simba SC

MKUDE AMUAGA KAHATA FRANCIS

admin June 6, 2021 12:47 am


KIUNGO mkabaji wa Simba, Jomas Mkude amemuaga mshikaji wake Francis Kahata ambaye ameaga rasmi kwa mashabiki na viongozi wake kwa muda ambao alikuwa ndani ya kikosi.

Kahata amekuwa mchezaji wa kwanza kuaga Simba baada ya kandarasi yake ya miaka miwili kumeguka ndani ya kikosi hicho.

Jana nyota huyo aliwaaga mashabiki na wachezaji wenzake kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kueleza kuwa anakwenda kuanza changamoto mpya.

Mkude amesema kuwa ni wakati mgumu ila lazima ufike kwa kuwa ni hatua ya maisha lakini atamkumbuka  Kahata.

USIPANGE KUKOSA NAKALA YAKO JERO TU GAZETI LA SPOTI XTRA JUMAPILI MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMAPILI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply