video

VIDEO: PART 2: MWAKALEBELA AIANGUKIA TFF, AKUBALI MATOKEO

admin June 7, 2021 9:47 am

SEHEMU ya pili ya mahojiano ya Fredrick Mwakalebela ambaye ni Makamu Mwenyekii wa Yanga kwa sasa amefungiwa kwa muda wa miaka mitano na Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) kutokana na makosa ambayo waliyaeleza kuwa ni pamoja na kutoa shutuma kwa waendeshaji wa mpira, pamoja na ishu ya mkataba wa kiungo wa Simba, Bernard Morrison, Mwakalebela amesema kuwa alikosea anaomba msamaha

 

VIDEO: HATMA YA JONAS MKUDE KUJULIKANA LEO, NABI AWASILISHA RIPOTI YANGA YAMALIZANA NA MAJEMBE HAYA MATATU, MMOJA ANATOKA SIMBA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply