Simba SC

KAGERE WA SIMBA RUKSA KWENDA KUKIPIGA YANGA

admin June 8, 2021 7:48 am


MEDDIE Kagere, mshambuliaji wa Klabu ya Simba kwa sasa ni RUKSA kuzungumza na mabosi wa watani zao wa jadi Yanga ili waweze kupata saini yake.


Nyota huyo mwenye mabao 11 ndani ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2020/21 dili lake linameguka msimu utakapoisha hivyo kanuni zinampa Tulsa kuzungumza na timu ambayo inamtaka.


Kwa mujibu wa Meneja wa Kagere, Patrick Gakumba amesema kuwa mteja wake mkataba wake utafika ukingoni ligi itakapoisha.

RAIS WA TFF, WALLACE KARIA AWATAJA WACHEZAJI ANAOWAKUBALI, LUIS NA NIYONZIMA NDANI VIDEO: KABANGU ANAYEPIGIWA HESABU NA SIMBA AFICHUA MAZUNGUMZO YAKE NA GOMES

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply