USAJILI wa nyota wa Simba Meddie Kagere ndani ya Yanga taarifa zinaeleza kuwa viongozi wa Yanga wanasubiri mkataba wake uishe ili waweze kumchukua bure, meneja wa Kagere Patrck Gambuka yeye amesema kuwa ikiwa Yanga wanamuhitaji ni suala la kukaa mezani.