Home Simba SC CHEKI UZI MPYA WA SIMBA KWA MECHI ZA KOMBE LA SHIRIKISHO

CHEKI UZI MPYA WA SIMBA KWA MECHI ZA KOMBE LA SHIRIKISHO


MABINGWA watetezi wa Kombe la Azam Federation Cup, Simba leo Juni  12 wametambulisha jezi mpya watakazotumia katika michuano hiyo.


Simba imetinga hatua ya nusu fainali baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Dodoma Jiji na itakutana na Azam FC katika hatua hiyo.

SOMA NA HII  BAADA YA KUMALIZANA NA WAARABU WA IBENGE JUZI...PABLO NA SIMBA YAKE WACHUKUA MTAZAMO HUU...