kimataifa

FONSECA APEWA MIAKA MIWILI SPURS

admin June 13, 2021 3:47 pm


 KLABU ya Tottenham ipo kwenye mazungumzo ya mwisho kukamilisha dili la kumpa mkataba wa miaka miwili kocha, Paulo Fonseca.

Spurs kwa sasa inasaka kocha mpya baada ya kumfuta kazi, Jose Mourinho aliyetimuliwa Aprili mwaka huu.

Inaelezwa kuwa tayari Fonseca amekubali dili hilo na anatarajiwa kutua London muda wowote kuanzia sasa.

Kocha huyo msimu uliopita alikuwa anainoa timu ya Roma na ilimaliza ikiwa nafasi ya 7 katika Serie A.

TANZANIA YAICHAPA MALAWI 2-0, BOCCO NA MWENDA WATUPIA MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply