news CHEKI UZI WA MBEYA CITY admin June 14, 2021 6:47 pm UZI wa timu ya Mbeya City inayonolewa na Kocha Mkuu, Mathias Lule. Kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara ipo nafasi ya 14 ikiwa imekusanya pointi 33 baada ya kucheza jumla ya mechi 30.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.