epl

MPIRA UTAKAOTUMIKA PREMIER LEAGUE

admin June 15, 2021 9:47 am

 


CHAMA cha Soka England (FA) kimeutambulishwa mpira rasmi kutoka Kampuni ya Nike ambao utatumika msimu wa 2021/22 ndani ya Premier League.

Ligi hiyo inatarajiwa kuanza Agosti 14, 2021 na tamati yake ni Mei 22, 2022, ukiwa ni msimu wa 30 tangu ianze kuitwa Premier League mwaka 1992.

VITA YA KUSHUKA DARAJA SI MCHEZO, CHEKI RATIBA KAMILI ILIVYO INJINIA YUPO KAZINI, ISHU YA USAJILI YAPAMBA MOTO YANGA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply