Simba SC

MO AONGOZA KIKAO CHA MIPANGO YA MAENDELEO SIMBA, BARBRA NDANI

admin June 16, 2021 6:47 pm


 BODI ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba leo Juni 16 imefanya kikao ili kujadili mambo mbalimbali ambayo yanaihusu klabu.

Miongoni mwa mambo ambayo wameyajadili ni pamoja na mipango ya maendeleo.

Taarifa rasmi iliyotolewa kupitia ukurasa rasmi wa Istagram wa Simba umeeleeza kuwa Kikao hicho kimeongozwa na Mwenyekiti wa Bodi, Mohammed Dewji, ‘Mo’.


Miongoni ambao walihudhuria kikao hicho ni pamoja na mtendaji mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez.

YANGA: TUMEJIANDAA NA MCHEZO WETU DHIDI YA RUVU SHOOTING VIDEO: MASHINDANO YA EURO YAWAPAGAWISHA MASHABIKI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply