video

VIDEO: KAMATI YA UCHAGUZI TFF YATAJA SABABU YA OSCAR OSCAR, MAYAY KUENGULIWA

admin June 16, 2021 6:47 pm

LEO Juni 16 Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) kupitia Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo, Benjamini Kalume umeweka wazi wagombea ambao wamepita kwenye mchujo wa awali katika kuwania nafasi za uongozi ambapo ni kwenye ile ngazi ya Urais na Kamati ya Utendaji. 


Pia ametaja sababu za wagombea kushindwa kupenya katika hatua ya mchujo wa awali. Miongoni mwa wale ambao wameishia hatua ya awali ni Ally Mayay, Oscar Oscar kwa upande wa wagombea Urais huku Saady Kihmji na Jimmy kwa upande wa Kamati ya Utendaji.

 

VIDEO: YANGA BADO WANA MALENGO YA KUTWAA UBINGWA, KESHO KUSAKA POINTI TATU KWA MKAPA VIDEO:RUVU SHOOTING YAIPIGA MKWARA YANGA, KAMILI KWA MCHEZO WA KESHO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply