Home video VIDEO: YANGA BADO WANA MALENGO YA KUTWAA UBINGWA, KESHO KUSAKA POINTI TATU...

VIDEO: YANGA BADO WANA MALENGO YA KUTWAA UBINGWA, KESHO KUSAKA POINTI TATU KWA MKAPA

0

NAHODHA Msaidizi wa Klabu ya Yanga, Ramadhan Kabwili amesema kuwa wachezaji wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho Juni 17 dhidi ya Ruvu Shooting utakaochezwa Uwanja wa Mkapa saa 1:00 usiku.

 
Kabwili amesema kuwa bado wana malengo ya kutwaa ubingwa. Ameongeza kuwa utakuwa mchezo wa kukimbizana na wanahitaji pointi tatu.