video

VIDEO: YANGA BADO INAHESABU ZA UBINGWA, PONGEZI WAPEWA WACHEZAJI

admin June 18, 2021 5:47 am


OFISA uhamasishaji wa Klabu ya Yanga, Antonio Nugaz amesema kuwa mabao waliyofungwa yametokana na makosa kwenye sehemu ya kipa hivyo wanaamini kwamba benchi la ufundi litafanyia kazi yaliyotokea.


 Pia amewapa pongezi wachezaji wote kwa namna ambavyo walipambana. Ameweka wazi kuwa pointi tatu walizopata ni muhimu na mapambano yanaendelea. Pia ameweka wazi kwamba bado wana malengo ya kutwaa ubingwa kwa kuwa klabu kubwa inafikiria kuhusu ubingwa na mechi zao zinazofuata watapambana.

 

VIDEO: YANGA KUMSAJILI KIUNGO KUTOKA ZAMALEK KOCHA SIMBA AFUNGUKIA HATMA YA MEDDIE KAGERE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply