video

VIDEO: KIPA WA MWADUI AFUNGUKIA BAO LA YANGA,SAIKOLOJIA YAKE IPO SAWA

admin June 19, 2021 7:47 pm

NAHODHA wa Mwadui FC, Mussa Mbissa amesema kuwa wamejipanga kwa ajili ya mchezo wa kesho dhidi ya Yanga utakaochezwa Uwanja wa Mkapa. 


Mbissa ameongeza kuwa kesho wataingia kwenye mchezo huo kama fainali licha ya kuwa kwenye mstari wa kushuka daraja kwa msimu wa 2020/21. 

Ameongeza kuwa kosa ambalo alifanya na kufungwa kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Yanga ameshasahau na ameandaliwa kisaikolojia. 

 

BREAKING: KOCHA YANGA ABWAGA MANYANGA MAZIMA MTIBWA SUGAR MABINGWA MARA TATU MFULULIZO U 20

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply