news

MTIBWA SUGAR MABINGWA MARA TATU MFULULIZO U 20

admin June 19, 2021 7:47 pm


 LEO Juni 19, Uwanja wa Azam Complex ilichezwa fainali ya Ligi Kuu ya Vijana U 20 na Mtibwa Sugar wameibuka Mabingwa kwa mara ya tatu mfululizo. 


Ubao wa Azam Complex baada ya dakika 90 ulisoma Azam FC 1-2 Mtibwa Sugar. 


Ni Abdulkarim Yunus dk ya 82 kwa Yanga na Omary Marungu dk 10 kwa mkwaju wa penalti na la pili lilifungwa na Richard Mwamba dk 24.

Mshindi wa pili ni Yanga huku mshindi wa tatu ni Simba ambaye alishinda mbele ya Azam FC katika mchezo wa mwanzo kwa penalti 4-1 baada ya dakika 90 za awali ubao kusoma Azam FC 1-1 Simba.

VIDEO: KIPA WA MWADUI AFUNGUKIA BAO LA YANGA,SAIKOLOJIA YAKE IPO SAWA VIDEO: MWADUI WAIPIGA MKWARA YANGA, WAPO TAYARI ASILIMIA 99

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply