video

VIDEO: SHABIKI WA SIMBA AMTUMIA UJUMBE MORRISON, ATAKA ASIWAVURUGE

admin June 19, 2021 8:47 pm

SHABIKI wa Simba amefunguka kuwa nyota wao Bernard Morrison asiwapande kichwani kutokana na kitendo ambacho alichokifanya baada ya kutaka kufanyiwa mabadiliko na mwisho wa siku akaingia Hassan Dilunga.


Simba leo ilikuwa na kibarua mbele ya Polisi Tanzania na baada ya dakika 90, ubao wa Uwanja wa CCM Kirumba ulisoma Polisi Tanzania 0-1 Simba. 

 

VIDEO: SIMBA YAPIGA HESABU ZA UBINGWA MAPEMA, MALALE ALIWAAMBIA WACHEZAJI MAPEMA KIUNGO MZIMBABWE MIKONONI MWA SIMBA, INJINIA AIBUKIA MALI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply