video

VIDEO: SIMBA YAPIGA HESABU ZA UBINGWA MAPEMA, MALALE ALIWAAMBIA WACHEZAJI MAPEMA

admin June 19, 2021 8:47 pm

KOCHA Msaidizi wa Simba, Seleman Matola amesema kuwa walipata nafasi chache mbele ya Polisi Tanzania jambo walilolifanya washindwe kufunga mabao mengi ila jambo la msingi kwao ni kupata pointi tatu.


 Kwa upande wa Kocha Mkuu wa Polisi Tanzania, Malale Hamsini amesema kuwa aliwaambia wachezaji wake mapema kwamba wawe makini na mipira iliyokufa jambo ambalo lilikuwa tofauti kwao na mwisho ubao wa Uwanja wa CCM Kirumba ulisoma Polisi Tanzania 0-1 Simba. 

 

VIDEO: MWADUI WAIPIGA MKWARA YANGA, WAPO TAYARI ASILIMIA 99 VIDEO: SHABIKI WA SIMBA AMTUMIA UJUMBE MORRISON, ATAKA ASIWAVURUGE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply