video
VIDEO: METACHA MNATA HAJALIPWA YANGA, ISHU YAKE SIMBA MENEJA AFUNGUKA
MENEJA wa kipa wa Yanga, Metacha Mnata ambaye ni Jemedar Said amesema kuwa mchezaji wake huyo anawadai mabosi wake kwa muda mrefu na alicheza msimu uliopita bila kulipwa. Pia meneja huyo amesema kuwa alimwambia Mnata alichokifanya hakikuwa kizuri.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.