Ligi Kuu
VPL: YANGA 0-1 MWADUI FC
UWANJA wa Mkapa
Yanga 0-0 Mwadui FC
Kipindi cha kwanza
Dakika ya 11Boxer anapeleka mashambulizi kwa Mbissa
Dakika ya 10 Mukoko anafanya jaribio linakwenda nje ya lango
Dakika ya 8 Fei Toto anafanya jaribio linaokolewa na Mbissa
Dakika ya 7 Mwadui Goooal Anicetus
Dk ya 6 Ntibanzokiza anakosa nafasi ya wazi
Dk 3 Saido Ntibanzokiza anakosa nafasi ya wazi

Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.