video
VIDEO: ALIYEWALETA CHAMA, BWALYA KUMLETA KIUNGO MWINGINE WA KAZI
WAKALA wa wachezaji wa Clatous Chama anayetambuliwa na Shirikisho la Kimataifa la Soka, Fifa anatajwa kuwaletea kiungo Moses Phiri na dili hilo linatajwa kuwa limefikia katika hatua nzuri kwa sasa.
Wakala huyo ni Paricha Chikoye ambaye amekubali mchezaji huyo kutua Simba.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.