video
VIDEO: MWAKATALIMO ATUMA SALAMU KWA AZAM FC, AWASHAURI MBEYA CITY
MWAKATALIMO amesema kuwa ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Mbeya City ni salamu kwa wapinzani wao Azam FC kwenye mchezo wao wa Kombe la Shirikisho unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Majimaji, Songea. Pia amewashauri Mbeya City wasikamie timu kubwa bali wanapaswa kufanya hivyo kwenye mechi zote.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.