video

VIDEO: AZAM FC YATOA TAMKO KUHUSU BAO WALILOFUNGWA NA SIMBA

admin June 27, 2021 5:47 am


KOCHA Msaidizi wa Azam FC, Vivier Bahati amesema kuwa walipambana mbele ya Simba mwisho wa siku wakakamwa kupata ushindi. 


Pia ametaja sababu ya kumtoa Sure Boy kuwa ni nguvu zake ziliisha. Kuhusu kufungwa bao lile amesema kuwa walichezewa faulo nje ya box ila faulo ikachezewa ndani ya box hivyo wanakubali kwa kuwa refa ameamua iwe hivyo wanakubali.

Ikumbukwe kuwa jana Juni 26 Azam FC ilipoteza kwa kufungwa bao 1 na Simba kwenye mchezo wa nusu fainali baada ya Bernard Morrison kuanzisha faulo harakaharaka ikafungwa na Luis Miquissone.

 Kuhusu kuanguka amesema kuwa kila mtu anajipanga kuwa bingwa na Mungu anampa kila mtu.

 

VIDEO: SIMBA YAFUNGUKIA BAO LA LUIS MBELE YA AZAM FC YANGA YAWAITA WANACHAMA KWA WINGI KUWA SEHEMU YA HISTORIA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply