video
VIDEO: NYONI ABAINISHA KWAMBA WALITAMBUA KUWA MCHEZO UTAKUWA NGUMU,
NYOTA wa Simba, Erasto Nyoni amesema kuwa walikutana na timu nzuri kwenye mchezo wao waliocheza jana Uwanja wa Majimaji mbele ya Azam FC huku akiweka wazi kwamba walitarajia kuwa mchezo utakuwa mgumu.
Kuhusu fainali ambayo watakutana na Yanga hiyo amesema ipo. Kuhusu bao ambalo walifuga Simba kupitia kwa Luis Mquissone amesema kuwa waliongeza umakini jambo lililowafanya waweze kufunga.

Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.