kimataifa

MDOGO WA MBAPPE ASAINI NDANI YA PSG

admin June 29, 2021 7:47 am


 MDOGO wa nyota wa Klabu ya Paris Saint-Germain,(PSG) Kylian Mbappe aitwaye Ethan Mbappe mwenye umri wa miaka 15, amesaini kandarasi mpya ya miaka mitatu hadi 2024 kuitumikia klabu hiyo ya Paris Saint-Germain.

 

Ethan ana uwezo wa kucheza kama mshambuliaji wa kati au winga ambaye alikuwa na kiwango bora kabisa kwenye mashindano ya International Champions Cup ya mwaka 2019.

 

Pia PSG kupitia tovuti yake wametangaza kumsajili Kinda Senny Mayulu ambaye amezaliwa mwaka 2006 na amesaini mkataba wa miaka mitatu mpaka 2024.

ALIYEMTUNGUA MANULA AZITAJA YANGA NA SIMBA VIDEO: SIMBA V YANGA SASA NI TOFAUTI, METACHA, LAMINE WAZUA MAPYA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply