video
VIDEO: MASHABIKI YANGA WAMCHONGEA MO KWA MANJI
MARA baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Yusuf Manji kuibuka kwenye mkutano mkuu wa Wanachama wa Yanga, mashabiki wamemsemea bosi huyo kuhusu suala la Mohamed Dewji wa Simba, ‘Mo’ kuwaonea hasa katika masuala ya uwekezaji ambao umefanywa na wapinzani wao Simba jambo lililowafanya wamuombe arudi tena.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.