Simba SC

BREAKING: SIMBA QUEENS YAMALIZANA NA MSHAMBULIAJI WA MABAO

admin June 30, 2021 8:47 am


 RASMI Simba Queens imempa dili la miaka miwili mshambuliaji Aisha Juma kuitumikia timu hiyo.


Nyota huyo ambaye ni mshambuliaji msimu uliopita wa 2020/21 alikuwa anakipiga ndani ya timu ya Alliance Girls ambapo amedumu kwa zaidi ya misimu miwili.


Msimu uliopita nyota huyo kwa mujibu wa rekodi za mfalme wa soka la Wanawake na mwandishi wa Global Group, @issambuzi_tz alitupia mabao 27.


 Unakuwa ni usajili wa pili kwa Simba Queens ambao ni Mabingwa mara mbili wa taji la Ligi ya Wanawake ambapo Juni 29 walimtambulisha Brenda Chaora kuwa kocha mpya wa viungo.

VIDEO: KARIA APETA TFF,YANGA WAJA NA MIKAKATI MIZITO YANGA YATENGA BILIONI 8.1 ZA CAF

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply