Home video VIDEO: SIMBA YASAJILI WATATU WAPYA

VIDEO: SIMBA YASAJILI WATATU WAPYA

OFISA Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa wamekamilisha usajili wa wachezaji watatu kimyakimya kwa makubaliano ya kuwalinda wachezaji hao wasiweze kujulikana. 

 

SOMA NA HII  MASAU BWIRE APIGA MKWARA, ULINZI WAIMARIKA