Home epl MPIRA UTAKAOTUMIKA PREMIER LEAGUE

MPIRA UTAKAOTUMIKA PREMIER LEAGUE

 


CHAMA cha Soka England (FA) kimeutambulishwa mpira rasmi kutoka Kampuni ya Nike ambao utatumika msimu wa 2021/22 ndani ya Premier League.

Ligi hiyo inatarajiwa kuanza Agosti 14, 2021 na tamati yake ni Mei 22, 2022, ukiwa ni msimu wa 30 tangu ianze kuitwa Premier League mwaka 1992.

SOMA NA HII  KOCHA MANCHESTER UNITED ABWAGA MANYANGA