Home video OSCAR: TFF WANAJUA KILA KITU KUHUSU MORRISON,YANGA KUGOMEA MECHI NI SUALA LA...

OSCAR: TFF WANAJUA KILA KITU KUHUSU MORRISON,YANGA KUGOMEA MECHI NI SUALA LA HOVYO


OSCAR Oscar mchambuzi wa masuala ya michezo amesema kuwa Yanga wanahaki ya kuifuatilia kesi yao ya Bernard Morrison kwa kuwa wao wanaamini kwamba ni mchezaji wao.


 Pia amesema kuwa Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) linajua kwamba kama Morrison alikuwa na mkataba na Yanga ama hana hivyo wao walipaswa kutusaidia tangu awali kuhusu suala la mkataba wa mchezaji huyo.

 

SOMA NA HII  VIDEO: AJIBU ANUKIA KUTUA YANGA, GOMES AJIPA MECHI TANO KUTWAA UBINGWA