Home video VIDEO: KIPA NAMBA MOJA WA MWADUI FC, MUSSA MBISSA AMEWEKA

VIDEO: KIPA NAMBA MOJA WA MWADUI FC, MUSSA MBISSA AMEWEKA

KIPA namba moja wa Mwadui FC, Mussa Mbissa amesema kuwa maneno kuhusu mabao aliyofungwa hajapenda ikiwa ni pamoja na kwenye mchezo wao wa Kombe la Shirikisho uliochezwa Uwanja wa Kambarage ambapo alifungwa na Deus Kaseke.


 Amesema kuwa alimsoma Fiston namna alivyokaa na kuweza kuokoa penalti hiyo.

 

SOMA NA HII  VIDEO: HATMA YA JONAS MKUDE KUJULIKANA LEO, NABI AWASILISHA RIPOTI