Staff Desk
BENCHIKHA ABEBA WINGA
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
BENCHIKHA TULISTAHILI USHINDI
benchikha afunguka yaliyotokea botswana baada ya kulazimishwa sare na wenyeji wao katika michuano ya caf
KOCHA WYDAD HALI SI SHWARI TENA
Uongozi wa Klabu ya Wydad Ac ya Morocco muda wowote unaweza kumfuta kazi kocha wao Mkuu Adel Ramzi.
Taarifa inathibitisha kuwa muda wowote kuanzia Sasa...
CHAMPIONSHIP MUAMUZI AZUA GUMZO…ISHU IKO HIVI
Mwamuzi wa kati Selugwani Shija ameleta gumzo kwenye Ligi ya Championship jana katika mchezo kati ya Biashara United ya Maea dhidi ya Mbeya City...
JINSI PACOME ALIVYOINUSURU YANGA KWENYE HATARI YA WARABU
Yanga imeondoka na pointi moja baada ya kutoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Al Ahly kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam...
SIMBA NA MZIMU WA SARE ULIOKITA MIZIZI MSIMBAZI
Mzimu wa sare umeendelea kuiandama Simba baada ya jana Jumamosi (Desemba 2, 2023) kushindwa kutamba katika mchezo wa pili wa hatua ya makundi ya...
YANGA SC YAJITAFUTA YAIBANA AL AHLY DAR…..PACOME MTU SANA
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
YANGA SIMBA HAKUNA KUZUBAA KIMATAIFA
Simba na Yanga zinapaswa kupambana hadi tone la mwisho la damu leo katika mechi zao za raundi ya pili ya hatua ya makundi ya...
UNAAMBIWA YANGA WAMESHASAHAU MATOKEO YA ALGERIA
Nahodha wa Yanga, Bakar Mwamnyeto amesema wamesahau matokeo ya Algeria na leo ni kazi moja tu kuhakikisha timu hiyo inapata ushindi.
“Sisi kama wachezaji tumejipanga...
SIMBA YANGA VICHEKO TU
Saa kumi juu ya alama Simba itakuwa kwenye kwenye Uwanja wa Obed Itani Chilume, Botswana kuikabili Jwaneng Galaxy mechi ya Kundi B. Awali ilikuwa...