Home video VIDEO: KOCHA SIMBA AFUNGUKA KUTANGAZA UBINGWA DHIDI YA YANGA

VIDEO: KOCHA SIMBA AFUNGUKA KUTANGAZA UBINGWA DHIDI YA YANGA

KOCHA Mkuu wa Klabu ya Simba, Didier Gomes ameweka wazi kwamba mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga unaotarajiwa kuchezwa Julai 3 Uwanja wa Mkapa utakuwa kama fainali kwa kuwa wanahitaji pointi tatu ili kuweza kuwa mabingwa wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2020/21. 

 

SOMA NA HII  VIDEO: SHABIKI WA SIMBA ATOA AHADI YA KUNYOLEWA NYWELE WAKIFUNGWA NA YANGA