Home news VIDEO: MENEJA WA METACHA MNATA AFUNGUKIA ISHU NZIMA YA MCHEZAJI WAKE KUIBUKIA...

VIDEO: MENEJA WA METACHA MNATA AFUNGUKIA ISHU NZIMA YA MCHEZAJI WAKE KUIBUKIA SIMBA

MENEJA wa kipa wa Yanga, Metacha Mnata, amesema kuwa hajawahi kuelemewa na mchezaji yoyote hata siku moja na anajua namna ya kuishi nao na kufanya nao kazi.

 
Pia ameweka wazi kwamba aliwahi kuwa meneja wa timu nzima zaidi ya 30 ndani ya Azam FC ikiwa ni pamoja na John Bocco, Aishi Manula na aliweza kubeba kombe. Kuhusu suala la Mnata ameweka wazi kwamba ni suala la mapito na linatokea kwenye mpira.Pia amefunguka kuhusu suala la Mnata kusajiliwa Simba.

 

SOMA NA HII  TAKWIMU: PAMOJA NA KUTOTWAA UBINGWA ..YANGA WAIGARAGAZA SIMBA KWENYE MAPATO