Home video VIDEO: MO NA MANJI USO KWA USO

VIDEO: MO NA MANJI USO KWA USO

KUNA uwezekano mkubwa wa Mohamed Dewji, ‘Mo’ ambaye ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Simba pamoja na Yusuph Manji aliyekuwa Mwenyekiti wa Yanga huenda wanaweza kukutana Uwanja wa Mkapa kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Julai 3. 

 

SOMA NA HII  TAZAMA MAZOEZI YA BONDIA MTOTO AKIJIFUA KUWA IMARA