Home video VIDEO: SHABIKI WA SIMBA, NINJA KUTOKA MAFINGA ATUMA UJUMBE HUU YANGA

VIDEO: SHABIKI WA SIMBA, NINJA KUTOKA MAFINGA ATUMA UJUMBE HUU YANGA

SHABIKI wa Simba maarufu kama Ninja kutoka Mafinga amesema kuwa walikutana na timu kubwa ambayo iliweza kuwapa shida jana kwenye mchezo wa nusu fainali mbele ya Azam FC, Uwanja wa Majimaji huku akiweka wazi kuwa kuelekea mchezo wao ujao dhidi ya Yanga watafunga mageti ili timu isitoke. 

 

SOMA NA HII  VIDEO: MANULA AIPOTEZA TUZO YA NDANI, AIFIKIRIA AFRIKA