Home video VIDEO: SIMBA YAFUNGUKIA BAO LA LUIS MBELE YA AZAM FC

VIDEO: SIMBA YAFUNGUKIA BAO LA LUIS MBELE YA AZAM FC


MTENDAJI Mkuu wa Simba, Barbra Gonzalez amesema kuwa bao la ushindi ambalo lilifungwa na kiungo Luis Miquissone ni la kifundi na linahitaji muda kulitazama hivyo mchezaji huyo anastahhili pongezi.


 Ameongeza kwa kusema kuwa watakwenda kumalizia ligi Kigoma Julai 25 ambapo inatarajiwa kuchezwa fainali kati ya Simba v Yanga, Uwanja wa Lake Tanganyika.

 

SOMA NA HII  TAZAMA NAMNA KIPA WA BIASHARA UNITED ALIVYOPEWA MKWANJA