Home video YANGA:TIMU KUBWA HAZISHINDI MABAO MENGI

YANGA:TIMU KUBWA HAZISHINDI MABAO MENGI

SHABIKI wa Yanga ameweka wazi kuwa ushindi wa bao 1-0 mbele ya JKU SC ni sawa kwa kuwa timu kubwa hazishindi mabao mengi, amebainisha kwamba kwa namna ambavyo kikosi kipo imani yao ni kuweza kufanya vizuri katika mechi zao zijazo kwenye mashindano.

 

SOMA NA HII  VIDEO: AJIBU ANUKIA KUTUA YANGA, GOMES AJIPA MECHI TANO KUTWAA UBINGWA