Home video TAZAMA NAMNA KOCHA MKUU WA SIMBA ALIVYOKAGUA UWANJA

TAZAMA NAMNA KOCHA MKUU WA SIMBA ALIVYOKAGUA UWANJA


DIDIER Gomes, Kocha Mkuu wa Simba kabla ya mazoezi ambayo yalifanyika wikiendi hii Uwanja wa Boko Veteran alianza kuukagua uwanja huo pamoja na benchi la ufundi la timu hiyo.


 Kwa sasa Simba inafanya maandalizi ya mwisho kuelekea katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Jwaneng Galaxy ya Botswana unaotarajiwa kuchezwa Oktoba 17 Wachezaji ambao wameanza mazoezi ni wale ambao wamebaki kambi ikiwa ni pamoja na Ibrahim Ajibu, Bernard Morrison.

 

SOMA NA HII  VIDEO: NYOTA MPYA WA SIMBA KUTOKA TP MAZEMBE ALIONEKANA INSTAGRAM