Home video VIDEO: NYOTA MPYA WA SIMBA KUTOKA TP MAZEMBE ALIONEKANA INSTAGRAM

VIDEO: NYOTA MPYA WA SIMBA KUTOKA TP MAZEMBE ALIONEKANA INSTAGRAM

LUCY Kipoyi, mchezaji mpya wa Simba Queens amesema kuwa amejiunga na timu hiyo baada ya dili lake ndani ya TP Mazembe kumeguka, ameongeza kuwa alionekana na Simba kupitia kurasa za kijamii ambapo alikuwa akiweka video zake huko jambo ambalo liliwavutia mabosi hao.

 

SOMA NA HII  MASAU BWIRE AIBUKA UWANJA WA MKAPA KWENYE SIMBA DAY....ARUSHA DONGO YANGA