Home news KAMATI YA MASAA 72 YATOA TAARIFA KUHUSU SIMBA V YANGA

KAMATI YA MASAA 72 YATOA TAARIFA KUHUSU SIMBA V YANGA


TAARIFA kutoka Kamati ya Masaa 72 ambayo ilikaa kujadilikuhusu mienendo ya  mechi za Ligi Kuu  Bara pamoja na Ligi Daraja la Kwanza. Pia imetoa taarifa kuhusu mechi ya Simba v Yanga, iliyopaswa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Mei 8, Uwanja wa Mkapa.




SOMA NA HII  BEKI ALIYEKUWA ANAWINDWA NA YANGA AMALIZANA NA SIMBA