Home video VIDEO: YANGA BADO WANA MALENGO YA KUTWAA UBINGWA, KESHO KUSAKA POINTI TATU...

VIDEO: YANGA BADO WANA MALENGO YA KUTWAA UBINGWA, KESHO KUSAKA POINTI TATU KWA MKAPA

NAHODHA Msaidizi wa Klabu ya Yanga, Ramadhan Kabwili amesema kuwa wachezaji wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho Juni 17 dhidi ya Ruvu Shooting utakaochezwa Uwanja wa Mkapa saa 1:00 usiku.

 
Kabwili amesema kuwa bado wana malengo ya kutwaa ubingwa. Ameongeza kuwa utakuwa mchezo wa kukimbizana na wanahitaji pointi tatu.

 

SOMA NA HII  VIDEO: HUYU HAPA KIPA WA IVORY COAST KUIBUKIA YANGA