Home video VIDEO: SIMBA ULAYA AWAPIGA MKWARA YANGA, WACHEZAJI YANGA WADAIA KUJIANGUSHA

VIDEO: SIMBA ULAYA AWAPIGA MKWARA YANGA, WACHEZAJI YANGA WADAIA KUJIANGUSHA

MZEE wa pasi milioni shabiki wa Simba amesema kuwa wachezaji wa Yanga walikuwa wakicheza kwa kujiangusha jana Julai 3, huku nyota wao Bernard Morrison akicheza mchezo mkubwa.


Pia amewaambia kwamba wachezaji wa Simba na benchi la ufundi walipambana ila bahati haikuwa yao wanakwenda kupambana na Yanga Kigoma, fainali ya Shirikisho. 

 

SOMA NA HII  YANGA; TUNAJUKUMU LA KUONYESHA UKUBWA WETU, JEZI YA MSIMU HUU KALI