video
VIDEO: SIMBA ULAYA AWAPIGA MKWARA YANGA, WACHEZAJI YANGA WADAIA KUJIANGUSHA
MZEE wa pasi milioni shabiki wa Simba amesema kuwa wachezaji wa Yanga walikuwa wakicheza kwa kujiangusha jana Julai 3, huku nyota wao Bernard Morrison akicheza mchezo mkubwa.
Pia amewaambia kwamba wachezaji wa Simba na benchi la ufundi walipambana ila bahati haikuwa yao wanakwenda kupambana na Yanga Kigoma, fainali ya Shirikisho.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.