video
VIDEO: MZEE MPILI ATUMA UJUMBE HUU KWA INJINIA, MANARA APIGILIA MSUMARI
MZEE Mpili shabiki wa Yanga amesema kuwa anashukuru kwa kupewa ahadi yake na Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara kwa kuweka wazi kwamba mpira sio uadui.
Ikumbukwe kwamba Manara alimuahidi milioni mja Mzee Mpili ikiwa Yanga ingeshinda mbele ya Simba, Julai 3 mwisho wa siku ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma Simba 0-1 Yanga.
Shabiki huyo wa Yanga amesema kuwa ameambiwa na Haji kwamba atamwambia tajiri injinia Hersi akatiwe tiketi ya ndege kuelekea mchezo wa Kombe la Shirikisho ambao ni wa fainali unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma, Julai 25 katika hilo Manara alipigilia msumari wa mwisho kwa kubainisha kwamba atamwambia Injinia afanye hivyo.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.