video
VIDEO: SHABIKI WA YANGA KUIBUKIA KIGOMA KWA BAISKELI, RATIBA YAKE HII HAPA
SHABIKI wa Yanga ameamua kutumia usafiri wa baiskel kuelekea Kigoma ili kushuhudia mchezo wa Kombe la Shirikisho kati ya Simba v Yanga unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Lake Tanganyika Julai 25.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.