video

VIDEO: ‘BABA KAGERE’ ATANGULIA MBELE ZA HAKI

admin July 15, 2021 5:47 am

ALIYEKUWA akidai kuwa ni baba mzazi wa mchezaji wa Simba, Meddie Kagere, ametangulia mbele za haki. Baba huyo alikuwa anadai kwamba Kagere ni mwanaye lakini hakupata bahati ya kuonana naye.


Kwa mujibu wa meneja wake amesema kuwa alikuja Bongo akitokea Bukoba kwa lengo la kuonana na Kagere.

 

MUONEKANO WA NDINGA MPYA YA YANGA BAADA YA KUFANYIWA MABORESHO VIDEO: BASI LA YANGA JIPYA CHOO MPAKA NDANI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply