video
VIDEO: KISA SIMBA FEI TOTO APEWA MKOKO MPYA
NYOTA wa Yanga, Fei Toto inaelezwa kuwa amepewa ndiga mpya na bosi wa Yanga baada ya kiungo huyo kuonyesha kiwango kikubwa kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara mbele ya Simba, Julai 3 ambapo Yanga iliibuka na ushindi wa bao 1-0 lililofungwa na Zawad Mauya.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.