Home video VIDEO: TAZAMA NAMNA AZAM FC WALIVYOWAPIGIA MAKOFI MABINGWA SIMBA

VIDEO: TAZAMA NAMNA AZAM FC WALIVYOWAPIGIA MAKOFI MABINGWA SIMBA

143
0

JANA Julai 15, Uwanja wa Azam Complex mabingwa wa Ligi Kuu Bara Simba walicheza mchezo wa ligi na Azam FC ambapo baada ya dk 90 ubao ulisoma Azam FC 1-1 Simba, kabla ya mchezo kuanza Azam FC waliwapigia makofi mabingwa hao.