video
VIDEO: SIMBA, BADO MATAJI SITA, KESHO KWA MKAPA MSIKOSE
OFISA Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa bado mataji mengine sita ya Ligi Kuu Bara yamebaki na amewaita mashabiki wa timu hiyo kujitokeza kwa wingi Uwanja wa Mkapa ambapo Simba itacheza na Namungo FC.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.