video

YANGA: TIMU INAJENGWA SIKU ZOTE, KILA TIMU INASAJILI KILA MSIMU

admin July 20, 2021 5:47 am

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kwamba haikuwa maneno matupu bali walikuwa na mipango ya kuweza kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara jambo ambalo limewafanya washindwe kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara ni kushindwa kupata pointi kwenye baadhi ya mechi.


 Pia kuhusu changamoto ambazo zimejitokeza wameahidi kuzifanyia kazi wakati ujao pale ambapo walikosea, Kuhusu suala la usajili wameweka wazi kwamba katika kujenga kikosi timu haijengwi siku moja hivyo watu wanapasa waelewe.

 

VIDEO: MANULA AIPOTEZA TUZO YA NDANI, AIFIKIRIA AFRIKA VIDEO: TANZANIA PRISONS YAPATA DILI NONO, USAJILI WAPIGIWA HESABU

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply