Home video SIMBA, TUNABEBA MAKOMBE, MZEE MPILI HACHEZI

SIMBA, TUNABEBA MAKOMBE, MZEE MPILI HACHEZI

JUSTIN Mwakitalimo, shabiki wa Simba amesema kuwa mchezo wao ambao walicheza mbele ya Coastal  Union na uboa wa Uwanja wa Mkapa kusoma Simba 2-0 Coastal Union ulikuwa ni wa kawaida hivyo wapinzani wao Yanga washinde mechi zao na wao


 wanakwenda kutwaa taji la Kombe la Shirikisho. Kuhusu tambo za Mzee Mpili amesema kuwa Mzee Mpili hachezi. 

 

SOMA NA HII  VIDEO:NYOTA TISA SIMBA KIKAANGONI, REKODI ZINAWAKATAA